Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 1st July 2026

Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia

Vita ya ufungaji bora kombe la dunia 2026 imeendelea kushika baada ya apo jana Nahodha na mshambuliaji wa ufaransa Klyian Mbappe kupachika kambani mabao mawili katika ushindi wa mabao matatu wa taifa lake dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa 32 bora.

Mabao hayo yanamfanya Nahodha huyu wa ufaransa kufikisha jumla ya mabao sita akilingaana na mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi ambae pia amekwisha weka kambani mabao sita kwenye michezo mitatu ya hatua ya makundi .

Mbali na vita ya ufungaji bora kwa mashindano ya kombe la dunia 2026 Pia mabao hayo yanamfanya mbappe ambaye anashiriki kwa mara ya tatu michuano ya kombe la dunia kufikisha mabao 18 huku akiwa nyuma kwa bao moja pekee nyuma ya Lionel Messi ambaye ndie kinara katika historia ya wafungaji bora muda wote wa kombe la dunia akiwa na mabao 19.

More Stories

Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Today, READ MORE β†’
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Today, READ MORE β†’
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Today, READ MORE β†’
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Today, READ MORE β†’
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
Today, READ MORE β†’
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Today, READ MORE β†’
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Today, READ MORE β†’
Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia
Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Bouaddi kipaji cha Morocco kwenye Radar za Manchester City
Bouaddi kipaji cha Morocco kwenye Radar za Manchester City
Today, READ MORE β†’
Mbappe ainyonga Sweden, aipeleka Ufaransa 16 bora
Mbappe ainyonga Sweden, aipeleka Ufaransa 16 bora
Today, READ MORE β†’