Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan

Joel JJ By Joel JJ • 1st July 2026

Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe, amethibitisha hali ya mchezaji wao Pacôme Zouzoua baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.

Katika mchezo huo, Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 na kutwaa taji la Ligi Kuu kwa msimu wa tano mfululizo. Hata hivyo, ushindi huo uliambatana na huzuni baada ya Pacôme..... download Xtra 90 App

More Stories

Aziz Ki arejea rasmi jangwani, akabidhiwa jezi namba 10
Aziz Ki arejea rasmi jangwani, akabidhiwa jezi namba 10
Today, READ MORE →
Mgunda atua Simba
Mgunda atua Simba
Today, READ MORE →
Feisal kuikosa Polisi Tanzania Leo sababu yafichuka
Feisal kuikosa Polisi Tanzania Leo sababu yafichuka
Today, READ MORE →
Kaizer Chiefs vs Mamelodi Sundowns: Preview ya pambano kubwa la PSL leo
Kaizer Chiefs vs Mamelodi Sundowns: Preview ya pambano kubwa la PSL leo
Today, READ MORE →
Manchester City kujaribu tena kumsajili Enzo Fernandez
Manchester City kujaribu tena kumsajili Enzo Fernandez
Today, READ MORE →
Romero atua Atletico Madrid kwa dau la Euro Milioni 40
Romero atua Atletico Madrid kwa dau la Euro Milioni 40
Today, READ MORE →
Ligi Kuu ya NBC yaendelea leo kwa mechi tatu, Yanga na Azam FC ugenini
Ligi Kuu ya NBC yaendelea leo kwa mechi tatu, Yanga na Azam FC ugenini
Today, READ MORE →
Simba kumpata Fei Toto ugumu uko hapa
Simba kumpata Fei Toto ugumu uko hapa
Today, READ MORE →
Simba kufunga dirisha la usajili na watatu
Simba kufunga dirisha la usajili na watatu
Today, READ MORE →
Ligi Kuu; Singida BS ilivyoiadhibu Fountan Gate 3-0
Ligi Kuu; Singida BS ilivyoiadhibu Fountan Gate 3-0
Today, READ MORE →