KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 1st July 2026

KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .

Timu ya Kinondoni Municipal Council KMC imeshukuru mashabiki wake kutokana na mapenzi makubwa walionyesha licha ya wakati mgumu ndani ya timu hiyo uliopelekea kushuka daraja msimu wa 2025-26 .

Ligi hiyo ambayo imetamatika apo jana , KMC imemaliza msimu ikiwa nafasi ya mwisho 16 ikikusanya alama 9 pekee huku ikifunga magoli 16 na kuruhusu mabao 53 , ligi hiyo inayojumlisha michezo 30 kwa kila timu KMC ilifanikiwa kushinda michezo miwili pekee , sare tatu na kupoteza michezo 25 .

KMC itashiriki championship msimu wa 2026-27 huku mategemeo yao ni kurejea ligi kuu msimu wa 2027-28

More Stories

Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Today, READ MORE β†’
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Today, READ MORE β†’
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Today, READ MORE β†’
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Today, READ MORE β†’
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Today, READ MORE β†’
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
Today, READ MORE β†’
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Today, READ MORE β†’
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Today, READ MORE β†’
Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia
Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
Bouaddi kipaji cha Morocco kwenye Radar za Manchester City
Bouaddi kipaji cha Morocco kwenye Radar za Manchester City
Today, READ MORE β†’