Hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 inaendelea leo kwa mechi tatu zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku kila timu ikisaka tiketi ya kutinga hatua inayofuata. Katika hatua hii hakuna nafasi ya kufanya makosa, kwani mshindi anaendelea na safari ya ubingwa huku aliyefungwa akiaga mashindano.
Macho mengi yataelekezwa kwenye mchezo kati ya England na DR Congo utakaopigwa saa..... download Xtra 90 App



