Chamou Karaboue : Asanteni Simba

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 1st July 2026

Chamou Karaboue : Asanteni Simba

Mlinzi raia wa Ivory Coast Chamou Karaboue ametangaza rasmi kung'atuka ndani ya kikosi Cha Simba sports club kufuatia kutamatika kwa mkataba wake na miamba hiyo ya msimbazi.

Taarifa hiyo imetolewa na mchezaji huyo kupitia mtandao wake rasmi wa kijamii huku akiwashukuru wachezaji wenzake , viongozi na mashabiki wa Timu hiyo.

" Baada ya miaka miwili muda umefika wakusema Asante , asanteni kwa kila kitu naondoka katika Timu hii lakini sehemu ya mimi itabaki apa " amesema Chamou.

Karaboue alijiunga na Simba msimu wa 2023-24 na kutumikia msimu mmoja pekee kabla ya kutolewa kwa mkopo TRA United ambayo ameitukia msimu wa huu wa 2025-26

More Stories

Azam yawahi Pemba kuiwinda Simba .
Azam yawahi Pemba kuiwinda Simba .
Today, READ MORE β†’
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Today, READ MORE β†’
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Today, READ MORE β†’
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Today, READ MORE β†’
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Today, READ MORE β†’
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Today, READ MORE β†’
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
KMC Ya Shukuru Mashabiki na Kuahidi Kurejea Ligi kuu Karibuni .
Today, READ MORE β†’
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Okello aandika historia kwa ubingwa nchi mbili msimu mmoja
Today, READ MORE β†’
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Yanga yathibitisha Pacome kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Agha Khan
Today, READ MORE β†’
Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia
Mbappe Aizonga Rekodi Ya Messi Kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’