Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 1st July 2026

Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena

Uzinduzi wa kampeni ubingwa wa Yanga sc msimu wa 2025-26 umefanyika hii leo makao makuu ya club hiyo , ambapo uzinduzi huo umelenga mambo mbalimbali yenye kulenga namna timu hiyo imepanga kusherekea ubingwa huo.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Afisa habari na mawasiliano wa timu hiyo Ally Kamwe ameeleza wamejipanga vilivyo kufanya sherehe hizo huku slogan ya sherehe hizo ikiitwa " Mwakani Tena " ikilenga kuwajibu wanaolalamikia ubingwa wa timu hiyo .

Yanga sc imetwaa ubingwa huo apo jana baada ya kumaliza msimu ikiwa na alama 75 mbili zaidi ya watani zao simba waliomaliza nafasi ya pili , Yanga katika msimu wa 2025-26 kwenye michezo 30 ya NBC ilifanikiwa kushinda michezo 23 , sare 6 na kupoteza mchezo mmoja pekee .

More Stories

Barcelona kuzindua Uzi wao mpya utakaotumika msimu ujao.
Barcelona kuzindua Uzi wao mpya utakaotumika msimu ujao.
Today, READ MORE β†’
Laporta athibitisha, Barcelona imetuma ofa Atletico kumsajili Alvarez
Laporta athibitisha, Barcelona imetuma ofa Atletico kumsajili Alvarez
Today, READ MORE β†’
JKT Tanzania wamtembelea Pacome Zouzoua hospitali kutoa pole na kumtia moyo
JKT Tanzania wamtembelea Pacome Zouzoua hospitali kutoa pole na kumtia moyo
Today, READ MORE β†’
Mpanzu abeba tuzo ya kinara wa assisti kwa assisti 10
Mpanzu abeba tuzo ya kinara wa assisti kwa assisti 10
Today, READ MORE β†’
Azam yaiwahi Simba Pemba .
Azam yaiwahi Simba Pemba .
Today, READ MORE β†’
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Kampeni Yanga ; Slogan Mwakani Tena
Today, READ MORE β†’
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Chamou Karaboue : Asanteni Simba
Today, READ MORE β†’
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Leo kombe la Dunia 2026; Hatua ya mtoano, mechi tatu za kibabe kupigwa
Today, READ MORE β†’
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Simba yaweka nguvu fainali kombe la CRDB
Today, READ MORE β†’
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Liverpool yamnasa mrithi wa Konate
Today, READ MORE β†’