Kiungo wa Simba SC, Elie Mpanzu, amehitimisha msimu wa 2025/26 wa NBC Premier League akiwa kinara wa kutoa assisti baada ya kuandika assisti 10, idadi iliyomfanya kuongoza orodha ya watengeneza mabao wengi zaidi msimu huu.
Mpanzu ameonyesha ubora mkubwa katika safu ya ushambuliaji ya Simba SC kwa uwezo wake wa kutengeneza nafasi za mabao, kutoa pasi za mwisho zenye usahihi na kuunganisha..... download Xtra 90 App



