Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wanakabiliwa na uamuzi mgumu kuhusu hatma ya mshambuliaji wao tegemeo, Prince Dube, baada ya mkataba wake kumalizika huku akitajwa kuwa kwenye rada za klabu kadhaa ndani na nje ya Afrika.
Taarifa kutoka vyanzo vya ndani ya uongozi wa Yanga zinaeleza kuwa nyota huyo wa Zimbabwe amewaomba viongozi wa klabu hiyo wamruhusu kutafuta changamoto mpya..... download Xtra 90 App



