Klabu ya Simba SC imefikia hatua za mwisho za kumsajili kiungo wa kimataifa wa Nigeria Ibraheem Jabaar kutoka Stellenbosch FC ya Afrika Kusini.
Taarifa zinaeleza kuwa makubaliano ya awali kati ya Simba SC na mchezaji huyo yamekamilika na anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ajili ya kukamilisha usajili wake rasmi.
Vyanzo kutoka ndani ya uongozi wa Simba, vimedokeza kuwa Jabaar..... download Xtra 90 App



