Ripoti mpya kutoka soko la uhamisho zinaeleza kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Camavinga, amewekwa sokoni na klabu yake na ametolewa kama ofa kwa Manchester City.
Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa Italia na Hispania, Matteo Moretto na gazeti la Marca, kumekuwa na mawasiliano ya moja kwa moja kati ya Real Madrid na Manchester City yakihusisha uwezekano wa uhamisho wa..... download Xtra 90 App



