Aliyekuwa Mkurugenzi wa Yanga , Paul Matthews, hii Leo amejiunga na klabu ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini ambako atahudumu kama Sporting Director kuelekea msimu wa 2026/27.
Matthews anaondoka Yanga baada ya kuhudumu kwa msimu mmoja, akisimamia masuala ya kiufundi ya klabu ikiwa ni pamoja na kupanga mikakati ya maendeleo ya timu, kuboresha muundo wa idara ya soka na kushirikiana na..... download Xtra 90 App



