Kikosi Cha wekundu wa msimbazi Simba hii leo kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar ikiwa ni siku Moja kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya Azam fc unaotarajiwa kufanyika mjini Pemba apo kesho.
Simba imeondoka ikiwa na kikosi chake kamili kuelekea mchezo huo utakaochezwa majira ya saa 11 za jioni katika uwanja wa Gombani , ambao utahodhi kwa mara ya kwanza mtanange wa..... download Xtra 90 App



