Manchester United wameanza mazungumzo ya awali na West Ham United kuhusu uwezekano wa kumsajili winga wa kimataifa wa Uholanzi, Crysencio Summerville, kuelekea msimu mpya. Tayari mazungumzo ya mwanzo kati ya klabu hizo yamefanyika, huku Summerville akiibuka kuwa mmoja wa malengo makuu ya kocha katika kuimarisha safu ya ushambuliaji.
Hata hivyo, mpango wa United bado uko katika hatua za..... download Xtra 90 App



