Real Madrid wametoa taarifa rasmi kukanusha uvumi uliokuwa ukisambaa kuhusu madai ya kutaka kumsajili kiungo wa Chelsea, Enzo Fernández. Klabu hiyo imesisitiza kuwa haijawahi kufanya mawasiliano yoyote, ya moja kwa moja wala yasiyo ya moja kwa moja, kwa ajili ya kumsajili nyota huyo wa Argentina.
Katika taarifa hiyo, Real Madrid imeeleza wazi kuwa haina mpango wowote wa kuwasilisha ofa..... download Xtra 90 App



