Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ali, amesema klabu hiyo ipo tayari kuandika historia nyingine kwa kutwaa Kombe la CRDB, akisisitiza kuwa iwapo wataibuka mabingwa, kutakuwa na sherehe kubwa na paredi litakaloendana na hadhi ya klabu hiyo.
Akizungumza wakati kikosi hicho kikielekea Pemba kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa fainali dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa..... download Xtra 90 App



