Klabu ya Yanga SC imetozwa faini ya Shilingi milioni 100 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kufuatia kutotumia chumba rasmi cha kuvulia katika mchezo wa NBC Premier League dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya TPLB, wachezaji na benchi la ufundi la Yanga walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala ya chumba rasmi..... download Xtra 90 App



