Mabingwa watetezi Argentina wamefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi mgumu wa mabao 3-2 dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa hatua ya 32 bora uliochezwa usiku wa kuamkia Julai 4.
Licha ya kutabiriwa kushinda kwa urahisi, Argentina ililazimika kupambana hadi dakika za mwisho za muda wa nyongeza dhidi ya Cape Verde, timu iliyokuwa ikicheza Kombe la Dunia..... download Xtra 90 App



