Picha hii inazungumza yenyewe. Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, na Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, wakionekana wakibadilishana mawazo kwa utulivu katika Uwanja wa Gombani, Pemba, saa chache kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
Licha ya tabasamu na mazungumzo ya kirafiki, kila mmoja anatambua uzito wa dakika 90 zinazowasubiri. Barker anaitafuta taji la kwanza..... download Xtra 90 App



