Local,Normal News,Yanga, Azam, CRDB FEDERATION CUP

Simba mabingwa CRDB FEDERATION CUP , Azam wakijinyonga Wenyewe

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
4 Jul 2026
Simba mabingwa CRDB FEDERATION CUP , Azam wakijinyonga Wenyewe

Simba Sc ni mabingwa wapya wa CRDB FEDERATION CUP baada ya kuiduiza Azam FC bao kwa Nunge katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Gombani mjini Pemba .

Simba imeshinda ubingwa huo baada ya bao la kujifunga la kiungo Yahya Zaid uliotokana na mpira wa kufa uliochongwa na winga hatari wa Simba Libasaa Gueye.

Mara ya mwisho kwa Simba kutwaa ubingwa wa FA ni msimu wa 2020-21 ambapo ilipata ubingwa huo mbele ya watani zao Yanga , pia huu unakuwa ubingwa wa pili kwa Simba msimu huu 2025-26 baada ya kushinda Taji la Muungano.

Katika mchezo huu pia ulizalisha kadi nyekundu kwa kiungo mshambuliaji wa Azam FC , Feisal Salumu kufuatia kumpiga kwa makusudi winga Libbasa Gueye.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
14m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’