Moja ya tukio kubwa kwenye fainali ya Simba dhidi ya Azam katika Dimba la Gombani hii Leo ni kadi nyekundu kwa kiungo wa Azam , Feisal kufuatia patashika nguo chanika na winga wa Simba Libasa Gueye