Morocco wameendelea kuandika historia katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa kuvutia dhidi ya wenyeji Canada na kufuzu hatua ya robo fainali. Atlas Lions walionyesha kiwango cha juu na utulivu mkubwa, wakithibitisha kwa mara nyingine kuwa ni miongoni mwa timu bora katika mashindano haya.
Kiungo Azzedine Ounahi alikuwa nyota wa mchezo kwa kufunga mabao mawili, huku..... download Xtra 90 App



