France wafuzu robo fainali kombe la dunia 2026, Rasmi kukutana na Morroco

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media • 5th July 2026

France wafuzu robo fainali kombe la dunia 2026, Rasmi kukutana na Morroco

Timu ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Paraguay katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa na uliowalazimu Les Bleus kupambana hadi dakika za mwisho kutafuta ushindi.

Paraguay waliingia uwanjani wakiwa na nidhamu kubwa ya kujilinda na kuwapa wakati mgumu washambuliaji wa Ufaransa...... download Xtra 90 App

More Stories

Manchester United yakaribia kumpata Carlos Baleba kutoka Brighton

Today, READ MORE →
Ni jukumu letu kufanya tunachotakiwa: Mngqithi Kocha wa yanga kuelekea mchezo dhidi ya Coastal Union

Musiala agundulika kuwa na kifafa baada ya kuanguka uwanjani mara ya pili

Sisi pia tumewasoma— Coastal Union yajiandaa kukabiliana na Yanga:Fikiri Elias

Yanga yatoa ufafanuzi wa mgogoro wa Israel Patrick Mwemda

Simba Acheni Kulalamikia Viwanja, Hamna Haki Hiyo : Massanza msemaji wa Singida Blackstars

Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 15, August 19 2026

Baba mzazi wa Israel Mwemda amkingia kifua mwanawe na ngogoro Yanga

Ligi Kuu NBC raundi ya pili; mechi tatu kupigwa leo

Xtra 90 Bets : Hizi hapa ni odds za uhakika, treni la wiki mbili