Macho ya dunia yataelekezwa kwenye pambano kubwa la hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026, ambapo Brazil watamenyana na Norway usiku wa leo kuanzia saa 5:00 usiku (23:00 EAT). Timu zote zinaingia uwanjani zikiwa na lengo moja tu – kushinda na kutinga robo fainali.
Brazil, mabingwa mara tano wa dunia, wanaendelea na ndoto ya kutwaa taji lao la sita. Baada ya kuiondoa Japan kwa ushindi..... download Xtra 90 App



