Mbeya City yatamba Mbeya Derby , Prison Ikitapatapa

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 5th July 2026

Mbeya City yatamba Mbeya Derby , Prison Ikitapatapa

Timu ya Mbeya city imeibuka na ushindi katika mchezo wa mkondo wa kwanza ( playoffs ) baada ya kuinyuka Tanzania Prison jumla ya mabao mawili kwa sifuri.

Katika mchezo huo uliochezwa katika Dimba la sokoine mkoani Mbeya , mabao ya Mbeya city yamewekwa kimiana na Noushad kabla ya msumari wa pili kuwekwa kimiani dakika za mwisho wa mchezo na Hijjah Shamte.

Ushindi huo unafanya Mbeya city kutanguliza Mguu mmoja kurejee ligi kuu bara , ambapo watasuburi matokeo ya mchezo wa marejeano utakaochezwa jumatano ya Julia 8 mwaka huu .

Mshindi wa jumla baina ya timu hizi atakata tiketi kushiriki ligi kuu bara msimu wa 2026-27 huku atayepoteza atacheza playoff nyingine dhidi ya mshindi wa playoff ya championship

More Stories

Mbeya City yatamba Mbeya Derby , Prison Ikitapatapa
Mbeya City yatamba Mbeya Derby , Prison Ikitapatapa
Today, READ MORE β†’
Paredi la Simba lakatisha Jangwani, utani wa jadi watawala

Nani anasema uwanja wa Yanga ni siasa? Hersi aweka wazi mchakato wa ujenzi

Haina kupoa, Brazil kukutana uso kwa uso na Norway kwenye fainali ya wc26

Jamal Bakhresa ailalamikia bodi ya ligi na TFF kuhusu Azam fc

France wafuzu robo fainali kombe la dunia 2026, Rasmi kukutana na Morroco

Morroco wafuzu Robo fainali kombe la dunia 2026, Akiwaondoa wenyeji Canada

MAGORI : Hizi ndiyo njia zetu , Ligi zikiwa za haki

Yesterday, READ MORE β†’
Mtazamo wako ni upi kufuatia kadi nyekundu ya Feisal Salumu

Tukutane Kesho Airport , Paredi Ipo : Ahmed Ally