Mabao mawili ya mshambuliaji wa Norway na Timu ya Manchester City , Erling Braut Halland yametosha kutamatisha safari ya Brazil kombe la Dunia 2026 .
Mabao hayo aliyoyafunga katika mchezo wa Leo yanafanya Norway kutinga robo fainali na kuweka historia kwa mara ya kwanza taifa ilo kufika hatua hiyo katika mashindano ya kombe la Dunia Tokea Taifa ilo lianze kushiriki fainali hizo..... download Xtra 90 App



