Azam FC imekamilisha usajili wa winga wa Ivory Coast, Kipre Jr (26), kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu wa mashindano wa 2026/27.
Kipre Jr anarejea Chamazi kwa mara nyingine baada ya kupita misimu miwili tangu alipoondoka Azam FC na kujiunga na klabu ya MC Alger ya Algeria.
Kwa mujibu wa makubaliano ya usajili huo, MC Alger imekubali kumuuza mchezaji huyo kwa Azam FC..... download Xtra 90 App



