Kama mipango ya klabu ya Simba SC haitabadilika, basi timu hiyo inaweza kutumia michuano ya CECAFA Kagame Cup kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season), kutokana na ratiba kubana na kutokuwepo kwa muda wa mapumziko marefu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, Crencentius Magori, amesema klabu inahitaji kuhakikisha maandalizi ya msimu ujao yanaanza mapema, hususan kwa kusajili..... download Xtra 90 App



