Mpango wa Yanga kumpata Fadlu Davids wagonga mwamba

Joel JJ By Joel JJ • 6th July 2026

Mpango wa Yanga kumpata Fadlu Davids wagonga mwamba

Uongozi wa Yanga SC umeendelea na mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya atakayechukua nafasi iliyoachwa na Pedro Gonçalves, lakini mipango ya awali ya kumleta kocha Fadlu Davids imekumbwa na changamoto na hatimaye mazungumzo kuvunjika.

Awali, mabingwa hao wa Tanzania Bara walikuwa kwenye mazungumzo ya karibu na Fadlu Davids, ambaye aliwahi kuzinoa klabu za Raja Casablanca ya Morocco na..... download Xtra 90 App

More Stories

Raundi ya pili ya NBC Premier League yafungwa kibabe.
Raundi ya pili ya NBC Premier League yafungwa kibabe.
Today, READ MORE →
Geoffrey Manyasi alimiwa umeme katika mchezo dhidi ya Yanga SC
Geoffrey Manyasi alimiwa umeme katika mchezo dhidi ya Yanga SC
Today, READ MORE →
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Today, READ MORE →
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni
Today, READ MORE →
Highlights : Polisi Tanzania 2-0 JKT Tanzania
Highlights : Polisi Tanzania 2-0 JKT Tanzania
Today, READ MORE →
Doumbia anahitaji bao moja tu atulize presha
Doumbia anahitaji bao moja tu atulize presha
Today, READ MORE →
Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe
Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe
Today, READ MORE →
Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama
Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama
Today, READ MORE →
Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli
Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli
Today, READ MORE →
Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili
Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili
Today, READ MORE →