Uongozi wa Yanga SC umeendelea na mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya atakayechukua nafasi iliyoachwa na Pedro Gonçalves, lakini mipango ya awali ya kumleta kocha Fadlu Davids imekumbwa na changamoto na hatimaye mazungumzo kuvunjika.
Awali, mabingwa hao wa Tanzania Bara walikuwa kwenye mazungumzo ya karibu na Fadlu Davids, ambaye aliwahi kuzinoa klabu za Raja Casablanca ya Morocco na..... download Xtra 90 App



