Spurs yamtambulisha Sandro Tonali katika usajili wa rekodi

Joel JJ By Joel JJ β€’ 6th July 2026

Spurs yamtambulisha Sandro Tonali katika usajili wa rekodi

Tottenham Hotspur wamekamilisha rasmi usajili wa kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia, Sandro Tonali, kutoka Newcastle United katika dili kubwa linaloripotiwa kufikia takribani pauni milioni 100.

Usajili huo unakuwa miongoni mwa mikataba mikubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, huku ukithibitisha azma ya Spurs kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu..... download Xtra 90 App

More Stories

Geoffrey Manyasi alimiwa umeme katika mchezo dhidi ya Yanga SC
Geoffrey Manyasi alimiwa umeme katika mchezo dhidi ya Yanga SC
Today, READ MORE β†’
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Highlights : Yanga 4-1 Coastal Union
Today, READ MORE β†’
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni
Yanga yaifumua Coastal 4-1 yaiondoa Simba kileleni
Today, READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 2-0 JKT Tanzania
Highlights : Polisi Tanzania 2-0 JKT Tanzania
Today, READ MORE β†’
Doumbia anahitaji bao moja tu atulize presha
Doumbia anahitaji bao moja tu atulize presha
Today, READ MORE β†’
Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe
Viongozi wa Yanga na Simba waungana kumuaga aliyekuwa Rais wa Yanga, Francis Kifukwe
Today, READ MORE β†’
Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama
Girumugisha aeleza jinsi dili lake la Yanga lilivyokwama
Today, READ MORE β†’
Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli
Fiston Mayele aanza ukurasa mpya Al Ahli Tripoli
Today, READ MORE β†’
Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili
Sowah ameanza msimu na gia ya juu, mechi mbili mabao mawili
Today, READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 16, August 20 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 16, August 20 2026
Today, READ MORE β†’