Nyota wa Brazil, Neymar Jr., amehitimisha muda wake wa kuitumikia timu ya Taifa kwa huzuni kufuatia matokeo ya kushtua katika Kombe la Dunia 2026, ambapo Brazil iliondolewa katika hatua ya 16 bora.
Brazil kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Norway katika mchezo uliochezwa jijini New Jersey, matokeo yaliyomaliza safari ya Brazil mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa katika mashindano hayo makubwa..... download Xtra 90 App



