Safari ya nguli wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, katika Kombe la Dunia imefikia tamati kwa majonzi baada ya Ureno kuondolewa na Spain kwa kichapo cha bao 1-0 katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026.
Bao pekee la mchezo lilifungwa na kiungo Mikel Merino katika dakika za mwisho kabisa, likizima ndoto za Wareno na kumaliza rasmi safari ya Ronaldo katika mashindano ambayo amekuwa..... download Xtra 90 App



