Baada ya kumalizika kwa msimu wa 2025/26, mabosi wa Simba SC wameanza kazi mapema ya kukijenga kikosi kitakachowania mataji msimu ujao, huku wakifanya maamuzi mazito ya kuwaacha baadhi ya nyota wa ndani na wa kigeni.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Crescentius Magori, tayari amesisitiza kuwa klabu hiyo haina muda wa kupoteza kwani inalenga kukamilisha usajili mapema kabla ya..... download Xtra 90 App



