Aliyekuwa kocha wa Real Madrid, Álvaro Arbeloa, ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Fulham baada ya kusaini mkataba wa miaka minne utakaomuweka klabuni hapo hadi Juni 2029.
Arbeloa anaanza rasmi sura mpya ya maisha yake ya ukocha baada ya safari yake ndani ya Real Madrid, ambako alijijengea sifa kwa kuendeleza vipaji vya vijana. Sasa atakuwa na jukumu la kuiongoza Fulham katika..... download Xtra 90 App



