Manchester United wamefikia makubaliano na Chelsea kuhusu usajili wa kiungo wa Brazil, Andrey Santos, katika dirisha la usajili la kiangazi. Kwa mujibu wa taarifa, United watatoa pauni milioni 48 kama ada ya awali, huku pauni milioni mbili zikiongezwa kulingana na masharti yaliyowekwa kwenye mkataba.
Taarifa zinaeleza kuwa masharti binafsi kati ya Santos na Manchester United tayari..... download Xtra 90 App



