Beki wa kati raia wa Mali, Mamadou Yoro Diaby, ameondoka rasmi Azam FC baada ya mkataba wake kumalizika, na sasa ataanza safari mpya kama mchezaji huru huku akitafuta changamoto nyingine katika maisha yake ya soka.
Taarifa kutoka ndani ya klabu zinaeleza kuwa uongozi wa Azam FC umeamua kutomuongezea mkataba beki huyo, kufuatia mipango ya benchi la ufundi chini ya kocha Florent Ibenge,..... download Xtra 90 App



