Beki wa kati raia wa Colombia, Yeison Fuentes (23), ameomba kuondoka Azam FC katika dirisha hili la usajili akitaka kutafuta changamoto mpya nje ya Tanzania, licha ya kuwa bado ana mkataba wa kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2027.
Taarifa zinaeleza kuwa Fuentes amewasilisha ombi lake kwa heshima mbele ya uongozi wa Azam FC, akiushukuru kwa ushirikiano alioupata tangu alipojiunga na klabu..... download Xtra 90 App



