Barcelona imezua mjadala mkubwa baada ya nyota wake, Lamine Yamal, kueleza wazi kuwa angefurahia kumuona mshambuliaji wa Argentina, Julián Álvarez, akijiunga na miamba hiyo ya Catalonia katika dirisha hili la usajili.
Yamal anaamini kuwa Álvarez angeendana kikamilifu na mfumo wa uchezaji wa Barcelona, akitaja uwezo wake wa kucheza nafasi mbalimbali za ushambuliaji, kufanya presha ya..... download Xtra 90 App



