Ahoua mambo magumu CR Belouizdad , Kung\'atuka Karibuni

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said • 9th July 2026

Ahoua mambo magumu CR Belouizdad  , Kung\'atuka Karibuni

Kiungo wa zamani wa klabu ya Simba , Jean Charles Ahoua anaripotiwa kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha taratibu za kuvunja mkataba wake ndani ya klabu ya Cr Belouizadad ya nchini Algeria .

Ahoua ambae alitamba akiwa na wekundu wa msimbazi Simba, amefikia hatua hiyo kutokana na kutopata muda wa kutosha wa kucheza akiwa na miamba hiyo ya nchini Algeria .

More Stories

Morocco wajivunia Uafrika kwa kuwakilisha Kombe la Dunia 2026

Today, READ MORE →
Yanga yaipiku Gent ya Ubelgiji , Yamnasa kinda Fountain Gate
Yanga yaipiku Gent ya Ubelgiji , Yamnasa kinda Fountain Gate
Today, READ MORE →
Ahoua mambo magumu CR Belouizdad  , Kung\'atuka Karibuni
Ahoua mambo magumu CR Belouizdad , Kung\'atuka Karibuni
Today, READ MORE →
Rasmi: Chelsea wamemtambulisha winga Geovany Quenda kwa mkataba hadi 2034

Lamine Yamal Atamani Julián Álvarez Ajiunge na Barcelona

Msimu ujao wa Simba SC matarajio yazidi kuongezeka ikianza maandalizi mapema

Beki Yeison Fuentes aomba kuondoka Azam fc, Ataka changamoto Mpya nje ya Azam

Rasmi: Yoro Diaby aachana na Azam fc baada ya mkataba wake kumalizika.

Morocco yapata pigo , Saibari Kuwakosa Ufaransa Leo

Robo fainali kombe la dunia; Ni Morocco au Ufaransa leo?