Wizara ya Elimu na Michezo nchini Morocco imekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa taifa hilo halijioni kama mwakilishi wa Afrika kwenye Kombe la Dunia.
Morocco imesisitiza kuwa inajivunia asili yake ya Kiafrika na nafasi yake ya kuiwakilisha bara hilo katika michuano ya Kombe la Dunia 2026.
Kupitia taarifa rasmi, serikali hiyo imeeleza kuwa..... download Xtra 90 App



