Local,Normal News,Simba, Yanga, Cecafa Kagame Cup,

Rasmi Simba Kushiriki Cecafa Kagame Cup Nchini Rwanda

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
10 Jul 2026
Rasmi Simba Kushiriki Cecafa Kagame Cup Nchini Rwanda

Klabu ya Simba imetangaza rasmi kushiriki mashindano ya Cecafa Kagame Cup yatakayoanza kutimua vumbi julai 24 mwaka huu jijini Kigali , Rwanda .

Simba wametoa kauli hiyo hii Leo wakithibitisha ushiriki wa mashindano hayo yatakayo Jumuisha Timu Mbalimbali ukanda wa afrika mashariki na Afrika ya kati.

Miongoni mwa timu shiriki katika mashindano ya mwaka huu ni pamoja na APR na Rayon Sports za Rwanda , Simba na Singida za Tanzania, Vipers , Al Hilal , Gor Mahia , na Kvz ya visiwani Zanzibar.

Simba itatumia mashindano haya kujiandaa na msimu mpya wa 2026-27 unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Tarehe 12 ya mwezi ujao .

More Stories

Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
9h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
22h ago
READ MORE β†’
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
1d ago
READ MORE β†’