Afrika imepokea kwa hisia taarifa ya nyota wa Senegal, Sadio Mané, kuhusu uamuzi wake wa kustaafu kuitumikia timu ya taifa. Mshambuliaji huyo mwenye historia kubwa katika soka la Afrika ameweka wazi kuwa safari yake ya kimataifa imefika mwisho baada ya kushiriki Kombe la Dunia 2026.
Mané, ambaye amekuwa nguzo muhimu ya kikosi cha “Lions of Teranga”, amesema ni muda sahihi kwake..... download Xtra 90 App



