Klabu ya Yanga imemtangaza raia wa Afrika Kusini, Manqoba Mngqithi, kuwa kocha mkuu mpya kuelekea maandalizi ya msimu wa 2026/27.
Mngqithi anatua Jangwani akiwa na uzoefu mkubwa wa kufundisha katika soka la Afrika, baada ya kufanya kazi kwa miaka kadhaa ndani ya klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Akiwa huko, alihudumu katika nafasi mbalimbali zikiwemo kocha msaidizi, kocha..... download Xtra 90 App



