Ulimwengu wa soka Afrika Kusini umejikuta kwenye huzuni kubwa baada ya taarifa za kifo cha kiungo wa Mamelodi Sundowns na timu ya taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana), Jayden Adams, kusambaa na kushtua mashabiki pamoja na wadau wa mchezo huo.
Adams, ambaye alikuwa na umri wa miaka 25, ni miongoni mwa vipaji vilivyokuwa na matumaini makubwa katika soka la Afrika Kusini baada ya kufanya..... download Xtra 90 App



