Manchester United wamefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji, Youri Tielemans, kutoka Aston Villa baada ya kuamsha kipengele cha kuvunja mkataba wake chenye thamani ya euro milioni 41.
Taarifa zinaeleza kuwa makubaliano kati ya United na Tielemans tayari yamefikiwa, huku nyota huyo akitarajiwa kukamilisha hatua zilizobaki za usajili kabla ya kutangazwa rasmi kama..... download Xtra 90 App



