Azam Fc wakumbana na rungu TFF baada ya kukacha tuzo CRDB Cup

Joel JJ By Joel JJ β€’ 13th July 2026

Azam Fc wakumbana na rungu TFF baada ya kukacha tuzo CRDB Cup

Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, imepitia taarifa ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank Federation Cup 2026) uliochezwa Julai 4, 2026 katika Uwanja wa Gombani, Pemba, na kutangaza maamuzi kadhaa ya kinidhamu dhidi ya Azam FC na baadhi ya maafisa wake.

Katika maamuzi..... download Xtra 90 App

More Stories

Azam Fc wakumbana na rungu TFF baada ya kukacha tuzo CRDB Cup
Azam Fc wakumbana na rungu TFF baada ya kukacha tuzo CRDB Cup
Today, READ MORE β†’
Deal done: Youri Tielemans sasa ni mali ya Red Devils.

Nyota anaewaniwa na Yanga Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Rwanda

Historia yaandikwa, Timu nne bora duniani zote zatinga nusu fainali ya kombe la dunia 2026.

Polisi Tanzania Yaichapa Tanzania Prisons 4-0, Yaweka Mguu Mmoja Ligi Kuu

Stanley Nwabali amerejea rasmi Chippa United, jambo lililozima matumaini ya Simba SC kumpata.

Aliyekuwa golikipa wa Yanga Sc Clause Kindoki afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Senegal yamfuta kazi Pape Thiaw baada ya kuboronga Kombe la Dunia

Yesterday, READ MORE β†’
Simba yashusha beki kutoka Ivory Coast
Simba yashusha beki kutoka Ivory Coast
Yesterday, READ MORE β†’
Singida BS yamnasa Tegisi
Singida BS yamnasa Tegisi
Yesterday, READ MORE β†’