Klabu ya Al Hilal imepoteza rasmi ubingwa wa Ligi Kuu ya Sudan msimu wa 2025/26 baada ya Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka la Sudan (SFA) kuidhinisha rufaa iliyowasilishwa na wapinzani wao wakubwa, Al Merrikh.
Uamuzi huo umebadili kabisa msimamo wa ligi, ambapo Al Hilal wameondolewa kileleni na kushushwa hadi pointi 18, huku Al Merrikh wakifikisha pointi 21 na kutawazwa mabingwa wapya..... download Xtra 90 App



