Klabu ya Yanga SC imeingia kwenye orodha ya timu zinazohusishwa na usajili wa winga chipukizi wa kimataifa wa Liberia, Emmanuel Flomo, anayekipiga katika klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan.
Inaelezwa Yanga tayari imeanza mazungumzo ya kumsogeza jijini Dar es Salaam nyota huyo mwenye umri wa miaka 18, huku ikitajwa kuwa imefikia makubaliano binafsi na mchezaji huyo kuhusu uwezekano wa..... download Xtra 90 App



