Azam FC inatarajiwa kulipa faini ya shilingi milioni 50 baada ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoa adhabu kufuatia kitendo cha wachezaji na benchi la ufundi kususia kupokea medali za washindi wa pili baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
Hatua hiyo imekuja baada ya Azam FC kuondoka bila kushiriki kikamilifu katika hafla ya utoaji wa..... download Xtra 90 App



