Local,Normal News, Azam FC,

Je, Azam FC watakubali kulipa adhabu ya faini ya milioni 50?

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
14 Jul 2026
Je, Azam FC watakubali kulipa adhabu ya faini ya milioni 50?

Azam FC inatarajiwa kulipa faini ya shilingi milioni 50 baada ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoa adhabu kufuatia kitendo cha wachezaji na benchi la ufundi kususia kupokea medali za washindi wa pili baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.

Hatua hiyo imekuja baada ya Azam FC kuondoka bila kushiriki kikamilifu katika hafla ya utoaji wa medali kufuatia kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya Simba SC, uliomalizika kwa ushindi wa bao 1-0.

Kwa mujibu wa uamuzi wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, klabu hiyo imepewa adhabu ya faini ya shilingi milioni 50 kutokana na kukiuka taratibu na kanuni za mashindano kwa kususia hafla rasmi ya utoaji wa medali.

Azam FC ina nafasi ya kutekeleza adhabu hiyo au kufuata taratibu za kukata rufaa kama zilivyoainishwa kwenye kanuni za TFF.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
6m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
22h ago
READ MORE β†’